Viongozi
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakigonganisha chupa za Grand Malt
katika uzinduzi wa kinywaji hicho leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko
wa TBL, David Minja, Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa TBL, Editha
Mushi, Meneja wa Grand Malt Consolata Adam na Meneja Masoko wa kinywaji
hicho, Fimbo Butala
Mkurugenzi Wa Masoko Wa TBL David Minja Akionyesha Chupa Mpya ya Grand Malt
Wafanyakazi Wa TBL Pamoja Na Meneja Wa Kinywaji Cha Grand Malt wakizindua chupa Mpya Ya Grand Malt yenye ujazo wa ML 300
Picha na Michuzi/Nkoromo Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)