NBC ilivyodhamini mkutano wa wahandisi (CoET) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NBC ilivyodhamini mkutano wa wahandisi (CoET)

Mshauri wa Mauzo wa Benki ya NBC Tawi la UDSM, Prosper Massano (kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali za kibenki zitolewazo na NBC wakati wa semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Chuo cha Uhandisi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CoET) kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ambayo NBC ilidhamini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki 

Mfanyakazi wa kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC Tawi la UDSM, Aloyce Joseph (wa pili kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali za kibenki zitolewazo na NBC wakati wa semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Chuo cha Uhandisi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam (CoET)  kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo
Kikuu Cha Dar es Salaam ambayo NBC ilidhamini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki 

Mfanyakazi wa kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC Tawi la UDSM, Victoria Michael (kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma
mbalimbali za kibenki zitolewazo na NBC wakati wa semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Chuo cha Uhandisi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CoET)  kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ambayo NBC ilidhamini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa (kushoto) akipiga picha na baadhi ya washiriki wa semina hiyo siku ya uzinduzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages