Chamelione akibatizwa jina la Gaddafi
Msanni
toka Uganda Joseph Mayanja a.k.a Jose Chameleone ameonekana msikiti wa
Kibuli Ijumaa ya August 12,2011 akiwa amevaa mavazi ya dini ya kiislam
na kubadadili dini Chameleone
alifuatana na wanachama toka Eagles Production members Haruna Mubiru
na Grace Sekamate na baada ya kuingia kwenye dini ya Kiislam ametaka
atambuliwe kama Gadhaffi Chameleone na si Jose Chameleone kama
alivyojulikana awali na baadaye alisali sala ya Ijumaa na waumini
wengine.
Habari Kwa Hisani Ya Unique Entertainment
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)