Hongera Benki ya NBC kwa matunzo ya bustani hii... - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Hongera Benki ya NBC kwa matunzo ya bustani hii...

Bustani ya Posta ya Zamani imekuwa na muonekano mzuri unaopendeza kutokana na matunzo yanayofanywa chini ya udhamini wa Benki ya NBC, blogu hii ya Daily Mitikasi inawapa Big-Up sana NBC Ltd na kuwaomba wakazi wote wa Jiji la Dar es Salaam kuiunga mkono benki hiyo kwa kuitunza bustani.Picha Kwa HIsani Ya Daily Mitikasi Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages