MSHINDI WA KUHIFADHI QURAN AKISALIMIANA NA MAKAMU WA RAISI DK BILAL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MSHINDI WA KUHIFADHI QURAN AKISALIMIANA NA MAKAMU WA RAISI DK BILAL


Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (wa pili kulia), akimuangalia mshindi wa kuhifadhi Korani Afrika, Jahuddin Adam kutoka Sudan baada ya kumpa zawadi katika sherehe zilizofanyika Dar es Salaam. Anayejiandaa kumsalimia ni Mwenyekiti wa Muslim Hajj Trust, Sheikh Saleh Issa Al-Maskiry (kulia).Wengine ni Rais mstaafu Ali Hassani Mwinyi na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum (kushoto). (Picha na Yusuf Badi)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages