KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Shughuli za Bunge wa zamani,ambaye saa ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha  Sheria, Japhet Sagasii, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Makamu  Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Profesa Tolly Mbwete kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. PICHA/OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages