Family Day ya Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Family Day ya Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011

Warembo wakicheza na Nyoka wa kundi la Kundi la Wanne Star pamoja na wasanii wakundi hilo, wakati wa sherehe yao ya Family Day Jana, ambapo warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania walitembelewa na ndugu na jamaa zao kutoka sehemu mbalimbali, katika hoteli ya Girrafe iliyopo Mbezi pia walipata nafasi ya kucheza muziki na kundi la Wanne Star.Habari Kwa Hisani Ya John Badi - Daily Mitikasi Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages