Mashindano Ya Kuhifadhi Kuran,Kufanyika Jumapili Hiii Jijini Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mashindano Ya Kuhifadhi Kuran,Kufanyika Jumapili Hiii Jijini Dar es Salaam

Katibu wa Jumuiya ya Kuhufadhi Kuran Tanzania, (TAHFIDH TRUST), Othman Kaporo, akizungumza na waandishi wa habari jana mchana jijini Dar es Salaam, kuhusu mashindano ya kuhifadhi Kuran yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Jumapili ya wiki hii jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yatashirikisha nchi mbali mbali za Kiafrika.
Baadhi ya washiriki a mashindano hayo kutoka nchi mbali mbali za Afrika. Picha na Victor Makinda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages