Kutoka Bungeni Mjini Dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kutoka Bungeni Mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge, Bungeni Mjini Dodoma Augost 18, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda(kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama (kulia) katika viwanja vya Bunge jana mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Kiteto, Benedict Ole- Nangoro (katikati) na Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Augost 18, 2011.
Mbunge wa Jimbo la Ilala ,Mussa Zungu Azzan (kulia) aliyevaa kofia ya rangi nyekundu akifurahia ushindi wa timu ya Simba baada kuichapa timu ya Yanga bao 2-0 katika mechi ya ngao ya hisani na wabunge wenzake katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages