Duh! Aisee Kumbe Eruption Night Ni Noma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Duh! Aisee Kumbe Eruption Night Ni Noma


URBAN PULSE CREATIVE ikishirikiana na DJ SILVER inakuleta ERUPTION NIGHT Party iliyofanyika katika mji wa Swindon ndani ya club ya Ukweli Liquid & Envy hivi karibuni ikiwashirikisha madjz wa nguvu akiwepo DJ kutoka BBC 1xtra Young Lion, Dj Silver,Ritchie Kutoka Bongo Deejayz,  Paul Carrol,GK,Supa,Collo,JadaFunk& 2badd.
 
Pia kulikuwa na LIVE PA kutoka kwa AJ Live,Zeeks,Daine,Danny G,A.Y.S na Lynx PARTY  inayofuatia itafanyika tarehe 26.8.2011 hapa hapa Mjini Swindon ndani ya Ukumbi wetu Ule ule  wa LIQUID & ENVY 1 HAVELOCK SQUARE, SWINDON, SN1 1LE. Wasanii Wakubwa BREAKBEAT(UKSP) Na Lady Leshur wataporomosha bonge la show kwa kukamua kwa kwenda mbele.
Advance Ticket ni £5.00 zinapatikana kwa kupiga simu 0777924605

Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages