MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA NA BALOZI WA SHIRIKISHO LA UJERUMANI LEO JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA NA BALOZI WA SHIRIKISHO LA UJERUMANI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes,  wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi  ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15.Kushoto ni msaidizi wa Balozi, Haus Koeppel. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes,  wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi  ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes,  wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi  ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15.Kushoto ni msaidizi wa Balozi, Haus Koeppel.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Diane Corner, wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Diane Corner, wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15. Kushoto ni msaidizi wa Balozi katika Shirika la maendeleo la Uingereza (DFID), Magdalena Banasiak. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages