Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizindua rasmi akaunti
mbili za Benki ya NBC ZA wateja wa Makampuni, Mashirika na Akaunti ya
Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha kwa kuzingatia
maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi. Wa pili kulia ni
Mkurugen zi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru na kulia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC wa Akaunti za Shariah, wa William Kalaghe.
Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akishikana mikono na Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru wakati wa uzinduzi rasmi wa Akaunti
mbili za wateja wake wa Makampuni, Mashirika na Akaunti ya Wafanyabiashara
zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya
kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi.
Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizungumza wakati wa
uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za NBC ZA wateja wake wa Makampuni, Mashirika
na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha kwa
kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm
jijini Dar es Salaa juzi. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,
Lawrence Mafuru na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dr Mussa Assad.
Baadhi ya wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na benki ya NBC
kabla ya sherehe za uzinduzi wa akaunti hizo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akitoa
maelezo kwa Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto) wakati
wa uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za NBC kwa wateja Makampuni, Mashirika na
Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha kwa
kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick Royal Palm
jijini Dar es Salaa juzi. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC wa Akaunti za
Shariah, William Kalaghe na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dr Mussa
Assad
Baadhi ya wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na benki ya NBC
kabla ya sherehe za uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za NBC kwa wateja
Makampuni, Mashirika na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na
misingi ya kifedha kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli
ya Moevenpick Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi jioni.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)