Hii Ndio Mandhari Ya Jengo la Vodacom House Ambapo
Washodacom Miss Tanzania 2011 Wamefikia Humu na Wanaishi Humu
Washiriki 30 wa Shindano la Kumsaka Vodacom Miss
Tanzania 2011 wakiwa katika Picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa Vodacom House
Usiku wa kuamkia leo
Ofisa Mkuu Wa Masoko Na Mahusiano Wa Kampuni ya simu
ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akikata utepe mwekundu kuashiria Kuwa
Vodacom House Miss Tanzania 2011 imezinduliwa usiku wa kuamkia leo.Kulia ni
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Internation ambayo ndio waandaji wa Vodacom Miss
Tanzania Mh Hashim Ludenga pamoja na Mkuu Wa Udhamini Wa Vodacom George
Rwehumbiza wakishuhudia tukio hilo
Washiriki Wa Shindano La Vodacom Miss Tanzania 2011
wakiwa wamejiachia huku wakipeana mawili matatu usiku wa kuamkia leo wakati wa
uzinduzi wa Vodacom House
Kwa Picha Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>
Wamependeza sana!!!warembo wetu!!!
ReplyDelete