Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akutana na Watendaji wa Wizara mbali mbali - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akutana na Watendaji wa Wizara mbali mbali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindu Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati, Ikulu mjini Zanzibar leo Agosti 10 kuhusu namna ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo kwa kipindi cha Mwaka mmoja ujao hasa kupitia bajeti ya Mwaka 2011-2012. Kushoto ni Makamo wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamadi.
Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzibar Dk Ali Mohamed Shein.
PICHA ZOTE/RAMADHAN OTHMAN WA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages