Mbunge wa jimbo la kitope mkoa wa Kaskazini Unguja ambaye pia ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia Mabalozi wa nyumba kumi wa ndani ya jimbo lake.Balozi Seif amefanya ziara ya kukutana na mabalozi hao kwa lengo la kukiimarisha Chama cha Mapinduzi.Picha na Hassan Issa-Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)