ULEVI KUPINDUKIA HUSABABISHA AJALI ENEO LA MAMA JOHN MKOANI MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ULEVI KUPINDUKIA HUSABABISHA AJALI ENEO LA MAMA JOHN MKOANI MBEYA


Mwana usalama barabarani akitoa plati namba ya gari lililopata ajali maeneo ya mama john jijini mbeya ajali hiyo imetokea jana usiku baada ya dereva wa gari hilo aina ya toyota corola kuzidiwa  kilevi na kukosa mwelekeo na kutumbukia katika dalaja

Mara baada ya ajali hiyo dereva alikimbia  hajulikani alipo
Huwezi amini hii gari imeingiaje hapa kwakweli madereva kuweni makini barabarani pombe ni hatari ukiona umelewa acha kuendesha gari 

Baadhi ya wananchi wakiangalia gari iliyotumbukia darajani mama john jijini mbeya

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages