Dereva
wa Bajaji, ambaye hakupenda kujitambulisha jina lake, akiwa katika
foleni la magari katika Barabara ya Nyerere wakati akitoka kumpeleka
mteja wake maeneo ya Posta akirejea kijiweni kwake Vingunguti. Bajaji
hiyo imefungwa Screen Tv na mziki mkubwa jambo ambalo litakushawishi kwa
namna moja ama nyingi kuvutiwa na usafiri huo pindi utakapomkuta
kijiweni kwake akisubiri wateja. Ubunifu wa aina hii ndiyo hasa
unatakiwa kwa wajasiliamali si lazima vijana wote kusubiri kazi za
kuajiriwa ama ukawa na kazi yako ukashindwa kuipenda "IPENDE KAZI AKO
BWANA", ndivyo alivyomalizia dereva huyu wa Bajaji.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)