Certicate iliyotolewa rasmi na serikali ya
Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa mgunduzi wa madini ya Tanzanite mwaka 1984
ilitolewa na Waziri wa Uchumi na Mipango kwa wakti ule .
Wanafunzi
wa Shule ya msingi Mtendeni , wakiwa katika banda la Wakala wa Jiolojia (GST)
wakiangalia Darubini ya upimaji madini ya enzi za Mkoloni iliyopo katika
makumbusho ya GST , DODOMA , hii ilikuwa katika maonesho ya Wizara ya Nishati na
Madini ya sherehe za miaka 50 ya Uhuru.
Afisa
Habari wa Geological Survey of Tanzania (GST) akiwa na mgunduzi wa madini ya
Tanzanite ,Mzee Jumanne Mhero Ngoma katika banda lake la maonesho , Maabara ya
GST ndiyo iliyopima na kugundua utofauti wa madini ya Tanzanite ugunduzi kama
inavyofahamika , ulikuwa mwaka 1967 chini Geological Laboratory -
Dodoma
Mgunduzi wa Tanzanite Mzee Jumanne Mhero Ngoma akiwa na
Afisa Habari wa GST , baada ya majadiliano mafupi
Watanzania
wakipata maelezo ya mgunduzi wa Tanzanite.Picha na S.Mtuwa
Kwa
Maelezo juu ya Mgunduzi wa Tanzanite wasiliana na namba Mobile :
0754
93 24 21
Email
: mtuwasamwel@hotmail.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)