Hapa Magari Yalipokuwa yameruhusiwa kuondoka na foleni ikaanza kupungua
Askari akifanya kazi upunguza foleni hiyo katika barabara ya nyerere kwenye makutano ya barabara iliyopo ofisi ya mkuu wa mkoa wa dodoma
Askari Wa Usalama Barabarani Akipiga Kazi ili kupunguza foleni barabarani hapo mchana wa leo
Hapa lori lilitaka kuleta mukshikeli kidogo na ndipo askari wa usalama huyo alipoamuru kusimamisha magari kwanza kwa upande huo
hapo ni kama unavyojionea mwenye foleni ilivyokua mchana wa leo
Askari Akipiga Kazi kwa kuelekeza kwa magari...
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)