Msanii Barnaba Elias 'Barnaba' akiimba kwa hisia katika shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo za Kili mwaka huu, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana. Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mwanamuziki Kalala Junior akicheza muziki na mmoja wa mashabiki wakati bendi ya Mapacha Watatu ambayo ni miongoni mwa washindi wa tuzo za Kili za Muziki Tanzania 2011, ikifanya shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo hizo,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana.Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii Joh Makini ambaye ni mmoja wa wasanii walioshinda tuzo la Kili za Muziki Tanzania 2011, akionesha umahiri wake wakati wa shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo hizo,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana.Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Bendi ya Mapacha Watatu ambao ni miongoni mwa washindi wa tuzo za Kili za Muziki Tanzania 2011, wakilishambulia jukwaa wake wakati wa shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo hizo,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana.Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Wasanii Daud Bakar 'Daz Ikerege'(kulia) na Jacob Makala 'JCD' wa Kundi la Walengwa wakati wa kutoka Arusha wakighani mbele ya mashabiki lukuki wa muziki shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo hizo,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana.Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Bendi ya Mapacha Watatu ambao ni miongoni mwa washindi wa tuzo za Kili za Muziki Tanzania 2011, wakilishambulia jukwaa wake wakati wa shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo hizo,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana.Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Baadhi ya mashabiki wakishangilia kwa furaha wakati Msanii Joh Makini akifanya vitu vyake katika shoo maalumu ya ziara ya wasanii walioshinda tuzo za Kili mwaka huu, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Royal Village, mjini Dodoma jana. Ziara hiyo ya kuwashukuru wapenzi wa muziki waliowapigia kura imefanikishwa na wadhamini wakuu wa tuzo hiyo, Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)