Kinamama hawa waliamua kujitosa majini wakati wakitoka na wengine kuingia kupata huduma ya kliniki kwenye Zahanati hiyo.
WATU mbalimbali waliohitaji kuingia na kutoka katika Zahanati ya Mwenge jijini Dar es Salaam, jana walilazimika kupita kwenye dimbwi kubwa la maji machafu yaliyokuwa yametuama kwenye mlango wa kuingilia Zahanati hiyo kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha.
Akina mama wakipita kwenye maji machafu ambayo ni hatari kwa usalama wao.
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)