JINA LA BLOG: www.konayamatukio.blogspot.com
Tunapenda kulitambulisha libeneke hili kwa wadau wote, libeneke jipya la KONA YA MATUKIO, ambapo nia na lengo kubwa ni kuleta matukio yanayotokea kila siku katika Jamii yetu na Duniani kwa Ujumla. Pia kutakuwa na Matukio ya papo kwa hapo yaani Breaking News, Endelea kuwepo kila muda kujua nini kinatokea Duniani kote
Kama unatukio la aina yeyote tutumie kupitia tonemultimediacoltd@yahoo.com karibuni nyote na asanteni kwa kututembelea.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)