MARY JOEL ANYAKUA TAJI LA VODACOM MISS ARUSHA CITY CENTER - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MARY JOEL ANYAKUA TAJI LA VODACOM MISS ARUSHA CITY CENTER


Mnyange Mary Joel (katikati) amenyakua taji la kuwa Vodacom Miss Arusha City Center 2011 katika ngazi ya kitongoji kanda ya kaskazini. Pembeni yake kulia ni mshindi pili Neema Edward pamoja na Stacey Alfred. Shindano hilo lilifanyika katika ukumbi wa Triple A, Arusha.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages