RAISI KIKWETE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE


Rais Jakaya Kikwete  akitoka ndani ya ukumbi wa mikutano wa St. Gaspar, mjini Dodoma juzi ambamo semeina elekezi kwa viongozi ilikuwa ikiendelea.Pichani Rais Jakaya Kikwete alipokua akiondoka Mjini Dodoma juzi jioni kuelekea Nchini Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Yoweri Museveni.Picha na Mdau Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages