Asamoah akivishwa jezi ya yanga na Ofisa Habari wa klabu hiyo, Louis Sendeu.
MASHABIKI wa Yanga SC leo walifurika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kumpokea Mshambuliaji wao mpya, Kenneth Asamoah ambaye uongozi wa Simba ulidai atajiunga na timu yao baada ya kutua jijini akitokea nchini Ghana.
Baada ya kumpokea uwanjani safari ya kuelekea klabu ya timu hiyo ilianza pichani msafara ukipita kwa watani wao wa jadi Simba (Barabara ya Msimbazi).
Ofisa Habari wa Yanga akimtambulisha Asamoah kwa mashabiki wa timu hiyo (hawapo pichani).
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)