RAISI OBAMA ALIPOONGOZA MASHAMBULIZI YALIYOWEZA KUMUUA OSAMA BIN LADEN - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI OBAMA ALIPOONGOZA MASHAMBULIZI YALIYOWEZA KUMUUA OSAMA BIN LADEN

 
Na Maggid Mjengwa,
Pichani juu Obama akiwa kwenye ' Chumba Cha Vita' akifuatilia kwa karibu operesheni  'SEAL Six  Team' ya makomandoo wake waliokuwa Pakistan.  Inasemwa, kuwa ulikuwa ni wakati wa mashaka makubwa . Obama alikuwa na matatu ya kuchagua; kuvamia jengo, kulipua jengo au kusubiri. Akaamrisha la kwanza, na hofu ilikuwa kwa baadhi ya makomandoo wake kupoteza maisha, maana, Osama Bin Laden naye alijiandaa kikamilifu kwa mpambano wa silaha.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages