Dawa ikiwa jikoni.
MGANGA wa kienyeji, Marwa Ndege Gonzaga, mkazi wa Mwanza, amejitokeza hadharani na kutangaza kuwa anatoa dawa ya kikombe yenye uwezo wa kutibu magonjwa sugu zaidi ya sita kwa gharama ya shilingi 2,000.
Gonzaga ameyataja magonjwa ambayo dawa yake inatibu kuwa ni vidonda vya tumbo, presha, kupooza, kutopata mtoto, kisukari na Ukimwi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Gonzaga ambaye jijini Dar es Salaam anapatikana Ilala, Karakata-Airport katika ofisi za Ediperry, alisema alianza kutibu tangu mwaka 1986.

Mganga huyo akichota dawa na kuwapa baadhi ya waandishi waliohudhuria mkutano huo katika Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo).
Mmoja wa waandishi wa habari wa siku nyingi akinywa dawa hiyo.
HABARI/PICHA NA HARUNA SANCHAWA, GPL
HABARI/PICHA NA HARUNA SANCHAWA, GPL
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)