Ali Kiba (kulia),akiimba jukwaani na mdogo wake, Abdul Kiba, (kushoto).
MWANAMUZIKI wa kizazi kipya Bongo, Ali Kiba, aliwapagawisha vilivyo mashabiki wake ndani ya Ukumbi wa Klabu Bilicanas katika kumalizia wikiendi.
Pacha Hussein (kulia), akiwa kwenye pozi na mrembo aliyemtaja kwa jina la Carlo.
Hussein (mbele) akiwa na pacha wake Hassan ndani ukumbi huo.
Muigizaji wa Bongo Movies, Zamda Salim, katika pozi la kamera.
Warembo wa tasnia ya filamu Bongo, Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’ (kulia) na Zamda (kushoto), wakipozi kwenye kamera.
Mtangazaji wa TBC1, Benny Kinyaiya (kushoto), akiwa na Papa Beatus.
Mwimbaji wa bendi ya African Stars International “Twanga Pepeta”, Charles Gabriel “Chalz Baba” (katikati) akiwa na warembo katika wikiendi hiyo.
Wacheza filamu nchini Zamda Salim akitaniana na shosti yake Naima (aliyeinama) nje ya ukumbi.
HABARI/PICHA NA MUSA MATEJA, GPL
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)