NSSF YAWAKUNA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NSSF YAWAKUNA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR ES SALAAM

 Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Chritine Kamuzora
(kulia), akielezea faida ya kujiunga na mfuko huo katika semina ya elimu ya umma kuhusu mfuko huo, iliyowahusisha wanachama wa kikundi cha wajasiliamali cha  akina  mama wa Ubungo cha MUWASIDA Saccos, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa NSSF, Maife Kapinda.
 Mwanachama wa kikundi cha wajasiliamali cha akina  mama wa Ubungo cha MUWASIDA Saccos, Editha
Rimoy akisoma kijarida cha mafao ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), alichopewa
wakati wa semina ya elimu ya umma kuhusu mfukohuo, Dar es Salaam juzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages