DK MAGUFULI AKATAA KUPOKEA SEHEMU YA BARABARA KUTOKA KWA MKANDARASI ANAYEJENGA BARABARA YA KILWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DK MAGUFULI AKATAA KUPOKEA SEHEMU YA BARABARA KUTOKA KWA MKANDARASI ANAYEJENGA BARABARA YA KILWA


Waziri wa Ujenzi Dr, John Magufuli akikagua ujenzi wa eneo la kipande cha kilo meta
60 cha uwekekaji lami cha Ndundu- Somanga kinachojengwa na Kampuni ya Kharafi
kutoka Kuweit (mei 6,2011).

Waziri wa Ujenzi Dr. John Magufuli (mwenye pama) Mei 6.20.11 akiangalia vifaa vya
ujenzi katika bohari ya Kampuni ya ujenzi ya Kharafi kutoka Kuwait vinavyotumika
kujengea kipande cha kilo meta 60 kutoka eneo la Ndundu-Somanga mkoani Pwani.
(mwenye shati la marembo ) ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi John
Ndunguru.

Sehemu ya eneo la barabara ya Kilwa  iliyokataliwa na Waziri wa Ujenzi Dr. John Magufuli. (Picha:Mwanakombo Jumaa)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages