ASKARI Polisi akisaidiana na Wanainchu kuchukuwa mwili wa mmoja wa Marehemu Asha na Mahmeil waliokufa kwa ajali ya kunasa na Umeme katika mtaa wa Kwahajitumbo wakijaribu kurekebisha antena ya TV na mauti yakawakuta
WANANCHI wa Mtaa wa Kwahajitumbo wakiwa na nyuso za huzuni wakishuhudia miili ya marehemu Asha na Mahmeil ikitolewa katika nyumba yao na kupelekwa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmmoja kwa uchunguzi zaidi.Picha na Habari na Mdau Othman Mapara-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)