Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru akizungumza Wakati wa mkutano wa masuala ya kiuchumi ulioandaliwa na benki hiyo kwa wateja wao wakubwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) aisalimiana na Happiness Nkya wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, wakati benki hiyo ilipoandaa mkutano wa masuala ya kiuchumi kwa wateja wao wakubwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Harold Materu wa SELF Project na Nelson Kisare wa NBC.
Ofisa kutoka benki ya ABSA Afrika Kusini,Jeff Gamble(kushoto)akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Banki ya NBC Tanzania,Lawrence Mafuru (kulia) wakati benki hiyo ilipoandaa mkutano wa masuala ya kiuchumi kwa wateja wao wakubwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katikati ni Mkuu wa Idara ya Fedha ya NBC,Pius Tibazarwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru(kulia)akizungumza na baadhi ya wateja wakuwa wa benki hiyo katika mkutano wa masuala ya kiuchumi ulioandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wateja wakubwa wa Benki ya NBC,wakiwa katika mkutano wa masuala ya kuchumi uliondaliwa na benki hiyo,jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)