Mgogoro kati ya Nape Nauye na viongozi wa CHADEMA umefikia patamu baada ya Freddy Mpendazoe kumwaga mtama kwenye kuku wengi, taarifa za ndani kutoka ndani ya chama hiko zimedai kuwa Nape Nauye ni mmoja wa waasisi wa kile kilichoitwa CCJ huku akitajwa kuwa yeye ndiye aliyekuwa anaiba siri za CCM na kuwapatia CCJ Blog hii imefanya utafiti wa kina ndani ya CHADEMA ambao umeonyesha kuwa kuna kila dalili mengi zaidi kuhusu Nape yataanikwa hadharani , mpaka sasa Nape hajatoa kauli yoyote kuhusu timbwili hilo na wakati huohuo tayari makundi ya vijana ndani ya CCM wamemtaka Nape kuachia ngazi kwa madai kuwa hana msimamo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)