Kwa mujibu wa gazeti la Dira liloko mitaani leo, inadaiwa, kuwa kuna waziri katika Wizara ya Viwanda na Biashara mwenye uraia wa Marekani.Kwamba Waziri huyo anatumia hati mbili za kusafiria.Pichani kushoto ni Waziri Cyril Chami na kulia ni Naibu wake Lazaro Nyalandu. Huu ni mkanganyiko wa leo!
By
Maggid Mjengwa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)