Wakuu wa makuhani na waandishi wakijadiliana jinsi ya kumkamata Yesu.
Wakristo wote duniani jana waliadhimisha siku ya kukumbuka mateso ya Mkombozi wao, Yesu Kristo yaliyotokea zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Pichani chini ni vijana wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kijitonyama jijini Dar es Salaam wakiigiza jinsi Yesu alivyoteswa.
Pichani chini ni vijana wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kijitonyama jijini Dar es Salaam wakiigiza jinsi Yesu alivyoteswa.
Yesu akiwamegea mkate wanafunzi wake.
Yesu akiwa chini ya ulinzi mkali.
Yesu akiwa anajibu maswali aliyokuwa anahojiwa na Pilato.
Mhalifu Baraba akimsikiliza Pilato kuhusu kuwekwa huru.
Baraba akishangilia baada ya kuwa huru.
Pilato akimpiga mijeledi Yesu.
Askari wa Kiyahudi wakimvua nguo Yesu.
Pilato akinawa mikono baada ya kugundua kuwa Yesu hana kosa.
Yesu akiwa amebeba msalaba.
Yesu ametundikwa msalabani.
Picha/stori: Na Gladness Mallya.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)