MNENGUAJI APAGAWISHA MASHABIKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MNENGUAJI APAGAWISHA MASHABIKI

 
Mnenguaji wa bendi kongwe ya muziki wa dansi ya Msondo Ngoma, Kinacho Mpendo a.k.a 'Mama Nzawisa' akimpagawisha mwanamukizi wa bendi hiyo Romalio Mng’ande kwenye onesho lao lililofanyika jana ndani ya Ukumbi wa Savoy mkoani Morogoro.

BENDI hiyo iko kwenye ziara katika mikoa mbalimbali ya Tanzania ikiwa na lengo la kutambulisha nyimbo zao mpya kwa mashabiki wao.

 
Jana walianza ziara hiyo mkoani hapa na leo watakuwa mjini lringa, moja ya nyimbo zao mpya zilizowapagawisha mashabi waliofurika katika ukumbi huo ni ule wa  Kikombe cha Babu wa Loliondo.

PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE,GPL,MOROGORO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages