WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAKIVUKA MTO TEGETA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAKIVUKA MTO TEGETA


  Wakazi wa Dar es Salaam wakivuka Mto Tegeta wakiwa wamebebana baada ya daraja linalounganisha Salasala Kilimahewa na kulangwa Goba kubomoka kutokana na Mvua nyingi zinazoendelea kunyesha Jijini Dar es Salaam.Picha na Robert Okanda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages