WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WATEMBELEA KITUO CHA WANAWAKE NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WATEMBELEA KITUO CHA WANAWAKE NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU

  Baadhi ya watoto wakifurahia mlo wa Pasaka uliotolewa na benki ya NBCwakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwenda katika kituocha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha House ofPeace nao kula chakula ikiwa ni sehemu ya sherehe za Sikukuu ya Pasaka
  Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kulia)akimpa chakula mtotoHusna Abdalah wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwendakatika kituo cha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira magumucha House of Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya sherehe za Sikukuu ya Pasaka jijini Dar es Salaam juzi.
  Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kulia)akimpa chakula mtotoAngel Godwin wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwendakatika kituo cha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira magumucha House of Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya sherehe zaSikukuu ya Pasaka jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya watoto wakipiga picha na Mshauri wa Mawasiliano waBenki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kulia) akipiga picha na akimpa chakula mtoto wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwenda katika kituo cha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha House of Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya sherehe za Sikukuu ya Pasakajijini Dar es Salaam juzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages