PROF LIPUMBA NA JAMES MBATIA NDANI YA SHEREHE YA MUUNGANO ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

PROF LIPUMBA NA JAMES MBATIA NDANI YA SHEREHE YA MUUNGANO ZANZIBAR

  Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakia Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim Lipumba, wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Zanziba, baada ya kumalizika kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano mjini Zanznibar Leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar Leo baada ya kumalizika kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages