MAADHIMISHO MIAKA 47 YA MUUNGANO YANG'ARA, JK AYAONGOZA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAADHIMISHO MIAKA 47 YA MUUNGANO YANG'ARA, JK AYAONGOZA ZANZIBAR

Rais  Dkt.Jakaya Kikwete akiingia katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini Unguja kuognoza sherehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea heshima na kupigiwa mizinda 21 mara tu alipowasili katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini unguja kuongoza hsrehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo asubuhi
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na amiri jeshi mkuu akikagua gwaride lilioandaliwa na jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ katika uwanja wa michezo wa Amaan wakati wa shrehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein  muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Michezo wa Amaani mjini Unguja kuongoza sherehe za  miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Salmin Amour baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini unguja kuongoza sherehe za muungano wa Tanzania na Zanzibar.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia mke wa muasisi wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar Mama Fatma Karume baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini unguja kuongoza sherehe za muungano wa Tanzania na Zanzibar.(Picha zote na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages