Muigizaji wa filamu za Bongo, Steven Kanumba amesema filamu yake aliyocheza na M-Nigeria Ramsey Nouah ipo jikoni na inatarajiwa kupakuliwa kwenye sahani la mashabiki wa filamu hapa nchini na nje ya nchi hii, mwezi Julai mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa hotel ya Peacock, jijini Dar es Salaam, Kanumba alisema, Move hilo linalokwenda kwa jina la 'Devil Kingdom' wamei-ekti hapa nchini na katika move hiyo Kanumba ataitwa Ambrose Kapalale na M-Nigeria ni Jerome Kongwa. PIchani, Kanumba akizungumza na leo kwenye hoteli hiyo. Kushoto ni M-Nigeria Ramsey
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)