TRA YASISITIZA MATUMIZI YA EFDs MASHINE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TRA YASISITIZA MATUMIZI YA EFDs MASHINE

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) anayeshughulikia elimu na huduma kwa wateja, Protias Mmanda, akifafanua mbele leo mchana kwa waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa mfumo wa mashine maalumu  EFD  tangu kuanzishwa kwake julai mwaka 2010. Mmanda alisema kuwa mpaka sasa  kuna mashine 11,465 maalumu kwa ajili ya ulipaji wa kodi ndizo zilizosajiliwa. Pia Mmanda alitoa wito kwa wafanyabiashara kuzitumia mashine hizo ili kulipa kodi stahiki kwa lengo la kulijenga Taifa. Kushoto ni  Mama Generose Baleyunga, Naibu kamishna.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages