TAMASHA LA 3 LA KITAALUMA LA MWALIMU NYERERE LAFANYIKA JIJJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAMASHA LA 3 LA KITAALUMA LA MWALIMU NYERERE LAFANYIKA JIJJINI DAR ES SALAAM

 Profesa Bereket Selassie (kushoto) wa Ethiopia, akijibu moja ya hoja zilizokuwa zikitolewa na washiriki katika Tamasha la tatu laKitaaluma la Mwalimu Nyerere, lililoandaliwa na Taasisi ya Kigoda cha Mwalimu Nyerere, na kufanyika leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa chuo hicho, Profesa Lwekaza Mukandara na kulia ni Mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu, Profesa Issa Shivji.
 Wadau wakiwa kwenye tamasha hilo la Kigoda cha Mwalimu
BALOZI wa Nchi za Ulaya (EU) ambaye pia ni Mkuu wa Mabalozi wa nchi za nje hapa nchini, Tim Clarke (Kulia) akizungumza katika Tamasha hilo.Picha Zote na Mdau Bashir Nkromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages