RAISI WA SOMALIA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI WA SOMALIA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI TANZANIA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Somalia Sheikh Sharif sheikh Ahmed katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere muda mfupi kabla ya Rais huyo kuondoka nchini baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mgeni wake Rais wa Somalia Sheikh Sharif Sheikh Ahmed katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere muda mfupi kabla ya Rais huyo wa Somalia kuondoka nchini baada ya ziara ya kikazi ya siku mbili.Picha na freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages