SEKRETARIETI MPYA YA CCM YAFANYA ZIARA DAR KWAAJILI YA KUJITAMBULISHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SEKRETARIETI MPYA YA CCM YAFANYA ZIARA DAR KWAAJILI YA KUJITAMBULISHA

Katibu Mkuu mpya wa CCM,Wilson Mukama akiwahutubia Wanachama wa Chama hicho kwenye Viwanja vya Bakhressa, Manzese,Dar es Salaam Jumamosi, ikiwa ni ziara yake ya kujitambulisha yeye pamoja na Sekretarieti yake mpya. 
Sehemu ya umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakishangilia wakati Katibu Mkuu mpya wa chama hicho,Wilson Mukama(hayupo pichani) alipokuwa akihutubia kwenye Viwanja vya Bakhressa, Manzese,Dar es Salaam Jumamosi, ikiwa ni ziara yake ya kujitambulisha yeye pamoja na Sekretarieti yake mpya.Picha na Fadhili Akida

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages