RAISI KIKWETE AUHUDHURIA TAMASHA LA PASAKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE AUHUDHURIA TAMASHA LA PASAKA


 Mwanamuziki na Mwimbaji Mhairi wa Muziki wa Injili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongi(DRC)Solomoni Mkubwa akiwasili ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam kushiriki Tamasha la Injili kwa Ajili ya Sikukuu ya Pasaka ambalo Rais Jakaya Kikwete alikua Mgeni Rasmi
 Sehemu Kubwa ya Umati wa Watu ukiwa nje ya ukumbi wa Diamond Jubilee leo jijini Dar es Salaam wakisubiri kuingia ukumbi humo kushuhusia Tamasha la Injili kwa ajili ya sikukuu ya Pasaka ambalo Mgeni Rasmi alikua Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete akiwasili leo kwenye Tamasha la injili Kwa Ajili ya Sikukuu ya Pasaka Kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam,Tamasha hili lilovuta mamia ya watu kutoka kila kona ya jijini la Dar es salaam lilishirikisha Wasaniii wa nyimbo za injili mbalimbali.Katika Tamash hili Rais Jakaya Kikwete ndie alikua Mgeni Rasmi.Picha na Mdau Ahmed Michuzi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages