DAR ES SALAAM ZOO JINSI ILIVYOSHEENI WANYAMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DAR ES SALAAM ZOO JINSI ILIVYOSHEENI WANYAMA

 
Habari Mkuu

Napenda kushare na Wadau matukio mbalimbali ya wanyama wa Dar es Salaam Zoo Pasaka hii!!
Kama inavyoonekana picha  mbali mbali zikionesha Nungunungu akiwa amechachamaa, swala, mbuni, pundamilia, Kenge juu ya mti na nyumbu wakiwa katika pozi tofauti!!
Salamu za Pasaka Kwa Wadau wote!

Shukrani


Salim Hassan
Marketing Manager 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages