ASKOFU ALEX MALASUSA NA ASKOFU MOKIWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ASKOFU ALEX MALASUSA NA ASKOFU MOKIWA


 Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania,Valentino Mokiwa akihubiri wakati wa Ibada ya Misa ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Albano mjini Dar es Salaam. 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Nchini Dk Alex Malasusa(kushoto)akimbariki  mtoto Navoneiwa Kaduma, kwenye misa ya Pasaka iliyofanyika leo kwenye kanisa kuu la kilutheri la Azania Front jijini Dar es Salaam aliyembeba ni  Mtoto Navoneiwa ni Baba Yake Mzazi Lukemelo Kaduma.Picha na Fadhili Akida na Yusuf Badi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages