Risasi zinazotumika katika Bunduki aina ya Shotgun Rifle zilizotelekezwa katika takataka huko Temeke mwisho. Viafaa vilivyokamatwa muda mfupi baada ya kuibwa katika moja ya nyumba ya mfanyakazi wa Barclays huko maeneo ya Chamanzi jijini Dar es Salaam. n Hili ndilo gari lililokamatwa likifanya uhalifu likiwa na vifaa hivyo, ambalo pia kama unavyoliona likiwa halina hata Document yeyote katika kioo.
Na Sufiani Mafoto
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)