CUF YATOA MSIMAMO KUHUSU MUSWADA WA MAREJEO YA KATIBA MPYA YA 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CUF YATOA MSIMAMO KUHUSU MUSWADA WA MAREJEO YA KATIBA MPYA YA 2011

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF-Bara, Julius Mtatiro, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, wakati wa mkutano kuhusu Muswada wa Marejeo ya Katiba Mpya ya 2011. Kushoto ni Katibu wa Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Thomas Mongi.


Julius alisema kuwa Chama hicho kinaungana na wananchi waliotoa maoni yao na kupinga mswada wa marejeo ya Katiba mpya uliochapishwa katika gazeti la Serikali Na1 Vol.92 la taerehe 11 Machi 2011

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages